HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

9 September 2013

BARA LA ULAYA LINA GUBU KWA QATAR KUANDA KOMBE LA DUNIA 2022
 

 

Qatar 2022 KUPEWA UENYEJI WC LINAWEZA KUWA MAKOSA ,  Sepp Blatter

Fifa ilifanya makosa kuipa uenyeji wa kombe la dunia mwaka 2022 nchi ya  Qatar, hii ni kwa mujibu wa rais wa Fifa Sepp Blatter.
kwani wakati wa kiangazi Joto hufika hadi 50C katika sehemu za katika mashariki mwa nchi hiyo.
Mwenyekiti wa Chama soka Uingereza  Greg Dyke anasema  "Haitawezekana" Kucheza katika hari ya aina hiyo ,na   Blatter anataka kubadalisha ratiba ya michuano ya kuipereka wakati wa Baridi .
Akiulizwa na mtandao wa  insideworldfootball.com  kuipa     Qatar uenyeji wa Kombe la dunia mwaka 2022 , Mzee huyu wa miaka 77--Anasema: "Inawezekana kuwa tulifanya makosa kwa wakati ule ."
Viwanja vipya Vinajengwa  Qatar na vile vilivyopo vinaongezwa viti 
Blatter, ambaye mwezi May anasema kuwa  "Hawakuwa na uwiano wa kucheza " wa kucheza kombe la dunia nchini Qatar mwezi  June na  July, aliongeza : "na wakati mwingine unatakiwa kutazama hari ya kisiasa na Hari ya uwanda. 

"Kombe la dunia kwa sasa ni mchezo mkubwa, Ni zaidi ya tukio kubwa zaidi , ni tukio la kidunia .Sisi ni nani ? ,Watu wa ulaya, Kuwa lazima tuhakikishe tunafaidisha watu  800million ambao wanaishi ulaya ?

"Nadhani ni wakati sasa bara ulaya linatakiwa kuelewa hatuutawali ulimwengu tena ,na sasa mataifa makubwa ya ulaya hayataweza kufanya wanavvyotaka mbali na kwao  .

"Tunatakiwa kukubali kuwa mpira sio tu wa kutoka bara ulaya au Marekani ya kusini  - umekuwa mchezo wa ulimwengu ambapo ma bilioni ya mashabiki wanatazama kila wiki na kila sehemu ."
Blatter anatumai yakuwa katika kikao kitakacho kaa mwezi kesho kitatoa maamuzi kama wabadili ratiba au vinginevyo.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers