HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

6 September 2013

Zinedine Zidane, David Beckam, Abedi Pele Na Abdullahi Traore KUTOKOMEZA UGONJWA WA SARATANI NIGERIAMashujaa wa soka wakiwemo Zinedine Zidane, David Beckam, Abedi Pele na Abdullahi Traore watacheza huko Nigeria Mwezi  December katika mechi ambayo itakuwa mahsusi kwa kutokomeza Ugonjwa wa Saratani Maarufu kama  cancer huko Nigeria.

Mchezo huo unazaminiwa na Wizara ya Afya , utakuwa ukiongozwa na  kambi ya upinzani ambayo mastaa wa zamani wa kimataifa wa Nigeria kama  Jay Jay Okocha na Kanu Nwankwo.

Mchezo uliobatizwa jina la Kutokomeza ugonjwa wa Saratani ya au Cancer kwa lugha ya kitaalamu .Mchezo huo utachezwa juma la kwanza la mwezi December katika mji mmoja wapo Eidha  Lagos au Abuja.

“Tumeongea na Makampuni kadhaa katika kuongeza wigo wa kutafuta udhamini . Juma la kwanza la Mwezi   December 2013, Magwiji wa soka watacheza mechi kati ya kuutokomeza ugonjwa wa saratani ,”Mrajisi wa mchezo huo  , Jacob Onu, amesma.
“Magwiji wa soka kama Zinedine Zidane na David Beckham, Abedi Pele na Abdullahi Traore ni moja kati wachezaji watakao pambana na magwiji wa soka wa zamani wa  Tai wa Kijani-wa Nigeria.  
Pesa zitakazopatikana zitatumika kufanya Uchunguzi kuhusu Ugonjwa Cancer au Saratani ambao umekuwa Tishio nchini humo
.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers