13 March 2014

JUDO BARA,ZANZIBAR WAFIKIA MUAFAKA MJAPAN LAWAMANI(SIKIZA SAUTI)

SIKIZA SAUTI 

Mwenyekiti wa chama cha JUDO Tanzania JATA Khalfan Kiumbe Moto  ameelezea muafaka waliofikia dhidi ya  chama cha judo Zanzibar ZJA walipoketi na baraza la michezo jana  kuhusu ni wachezaji gani waende Kushiriki michuano ya Jumuiya ya Madola kati ya Bara na Zanzibar khalfan kiumbe anasema katika mahojiano ya simu kuwa mjapan anaeendesha mafunzo hayo Zanzibar ndiye sababu kubwa ya kutokuwa na maelewano katika mchezo wa judo.

No comments:

Post a Comment