10 March 2014

WAEL GOMAA AIPIGIA SALUTI YANGA

StarAfrica

Nahodha wa klabu ya soka ya Al Ahly  Wael Gomaa Amesema kuwa walikosa nafasi nyingi dhidi ya wapinzani wao  Young Africans kitu ambacho kingewafanya watoke na ushindi mkubwa .

”Tulipokosa nafasi nyingi za kufunga wachezaji wetu walinyanganyikiwa na ilitufanya tushinde mechi hiyo  ” Gomaa amesema hayo baada ya mechi kumalizika .

“Jambo la msingi ni kuwa tumebaki kwenye mashindano .
Al Ahly sasa itacheza na  Al-Ahly Benghazi katika hatua inayofuata.

No comments:

Post a Comment