9 March 2014

YANGA YAAGA MASHINDANO KWA PERNATY


Klabu ya soka yanga imeshindwa kusonga mbele katika michuano ya klabu bingwa barani afrika baada ya kutolewa na Al Ahly ya Misri kwa jumla ya Moja kwa bila ndani ya dakika tisini na kulazimika kupigiana penati na yanga ambapo yanga imefungwa kwa penati  .




Al Ahly wamepata penati 4 - 3 Young Africans
Yanga Didier, Canavaro, Okwi  waliokosa ni Oscar, Bahanuzi na Twite.
Al Ahly inafuzu hatua ya  16 bora katika michuano ya kuwania ubingwa wa afrika

No comments:

Post a Comment