HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

18 April 2014

BLATER AIPONGEZA AZAM FC KWA UBINGWA WA BARA

 

Rais wa shirikisho la kimataifa FIFA ametuma salamu za pongeza kwa klabu ya soka ya Azamfc kwa kutwaa ubingwa wa Ligi kuu soka Tanzania bara akitoa salamu hizo Rais wa Tff jamal Emily Malinzi amesema amepokea Barua hiyo kutoka Fifa ikiwa na Saini ya Rais huyo wa fifa Sepp Blater wakati akitaja nchi kumi na mbili zitakazoshiriki michuano ya ukuzaji wa vipaji wa Airtel Rising kutoka katika Bara la afrika ambapo Nchi kumi na mbili zitashiriki ambapo kliniki hiyo itasimamiwa na na makocha wazoefu kutoka katika klabu ya Manchester united ya Uingereza.
 

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers