HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

21 April 2014

HAMKANI SI SHWARI :MAN U NA DAVID MOYES (RADIO CONFERENCE )


 No luck: Moyes rues a missed chance as United slipped to a 2-1 defeat to Sunderland in the first leg of their Capital One Cup semi-final

David Moyes Atafukuzwa kazi na  Manchester United katika wiki kadhaa zijazo na inawezekana anaweza Asimalize kabisa msimu huu .
Wamiliki wa United’s familia ya  Glazer Tayari wamepoteza imani na mkufunzi huyo katika msimu huu ambao wamekuwa wakiandamwa na matokeo mabaya hasa katika ligi kuu ya soka ya uingereza baada ya kushika nafasi ya Saba katika msimamo wa ligi kuu ya soka ya premier ya uingereza .
Huku mechi ya mwisho hivi karibuni United ikitandikwa mabao mawili kwa sifuri dhidi Everton , Huku ukiwa ni msimu wao wa kumi na moja katika ligi kuu soka ya uingereza Makocha wanaotajwa kuchukua nafasi ya kocha huyo ni kocha wa  Dortmund  Jurgen Klopp, Mholanzi  Louis van Gaal na kocha  wa Real Madrid coach Carlo Ancelott.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers