21 April 2014

HAMKANI SI SHWARI :MAN U NA DAVID MOYES (RADIO CONFERENCE )


 No luck: Moyes rues a missed chance as United slipped to a 2-1 defeat to Sunderland in the first leg of their Capital One Cup semi-final

David Moyes Atafukuzwa kazi na  Manchester United katika wiki kadhaa zijazo na inawezekana anaweza Asimalize kabisa msimu huu .
Wamiliki wa United’s familia ya  Glazer Tayari wamepoteza imani na mkufunzi huyo katika msimu huu ambao wamekuwa wakiandamwa na matokeo mabaya hasa katika ligi kuu ya soka ya uingereza baada ya kushika nafasi ya Saba katika msimamo wa ligi kuu ya soka ya premier ya uingereza .
Huku mechi ya mwisho hivi karibuni United ikitandikwa mabao mawili kwa sifuri dhidi Everton , Huku ukiwa ni msimu wao wa kumi na moja katika ligi kuu soka ya uingereza 



Makocha wanaotajwa kuchukua nafasi ya kocha huyo ni kocha wa  Dortmund  Jurgen Klopp, Mholanzi  Louis van Gaal na kocha  wa Real Madrid coach Carlo Ancelott.

No comments:

Post a Comment