30 May 2014

Teddy Sheringham APEWA KAZI YA KUIFUNZA WEST HAM

  

Mshambuliaji wa Zamani wa  West Ham  Teddy Sheringham amejiunga Tena kuifunza kama kocha katika Ligi ya Premier .

Sheringham, ambaye ametumia miaka mitatu  Upton Park kati ya mwaka  2004-07,na atakuwa pamoja na  Sam Allardyce's ili kuongeza ubora katika klabu. 

Washika Nyundo wamefunga magoli Alobaini msimu uliopita na walimsainisha Muargentina  Mario Zarate siku ya jumatano walizungumza matatizo hayo . 

Sheringham, 48, Amesema : "Nina furahia kurejeana tena katika klabui hii."

No comments:

Post a Comment