13 May 2014

YAMETIMIA ARSENAL YAPOTEZA KOCHA .

arsenal logo full hd wallpaper  Arsenal Soccer Club 

Kocha Mkuu wa klabu ya Arsenal ya Vijana  Terry Burton amejiunga na klabu ya West Bromwich Albion akiwa kama mkureugenzi wa ufundi na atakuwa na majukumu  ya kufanya usajiri wa klabu hiyo .

Burton alikuwa moja ya kati makocha wa kwanza wa kuu katika Benchi la ufundi lilikuwa likiongoza na  Roy Hodgson Mwaka  2011-12 na iliaminika kwa kocha wa Uingereza kwani alikuwa na vigezo vyote kumchagua kuwa katika Benchi la Ufundi .

Burton atakabidhiwa rasmi mikoba siku ya Tarehe Mosi mwezi june huku akitafutwa Mrithi wa kamili wa  Pepe Mel.

Mzee huyo  61-Atafanya kazi na  Richard Garlick, ambaye majukumu yake yamepunguzwa kuwa mkurugenzi wa ufundi .

Kocha huyo  wa zamani  Wimbledon boss Burton ataacha kazi yake ya kufundisha kikosi cha miaka-21 cha  Arsenal, Klabu aliyojiunga nayo Tangu mwaka  1969 Akiwa mchezaji mdogo akiwa Arsenal alisaidia kuibua vipaji wachezaji kama  Tony Adams, Martin Keown and Paul Merson. Burton Vile vile ameweza kumvumbvua  Aaron Ramsey kutoka  Cardiff alipokuwa mmbadala  Dave Jones.

No comments:

Post a Comment