5 July 2014

ARGENTINA YAVUNJA REKODI YA MIAKA 24

Higuain scores
 
Argentina imetinga nusu fainali kwa mara baada ya miaka ishirini nne na kutinga nusu fainali kwa mara ya kwanza Tangu mwaka 1990 Baada ya  Gonzalo Higuain's kufunga goli la mapema na kuifungashia Ubelgiji kurejea Nyumbani . 

Higuain aliunganisha passi iliyoparazwa na  Angel Di Maria's  alifunga goli kwa uparaza kwa pembeni kwa yard 15 .
Mchezaji huyo  Napoli aligogesha mwamba baada ya kupiga shuti katika kipindi cha ,matukio haya yalitokea Kabla ya  Marouane Fellaini kuunganisha mpira wa kichwa na hiyo ndio ilikuwa nafasi pekee kwa ubelgiji . 

Sasa  Argentina itapambana na mshindi kati ya Netherlands au  Costa Rica ili kupata mshindi wa kucheza fainali .

No comments:

Post a Comment