
Real Madrid wamekubari kumsainisha mshindi wa tuzo ya kiatu cha Dhahabu katika kombe la dunia kinachodhaminiwa na adidas James Rodriguez kutoka Monaco, Mabingwa hao wa ulaya wametangaza hilo leo . MColombia huyo
amekubari kusaini kandarasi ya Miaka sita na alitarajiwa kufanyiwa vipmio vya kiafya asubuhi na kutangazwa jioni ya leo .
"Real Madrid imefikia makubariano na Monaco kumhamisha James Rodriguez,
ambaye ataitumiaka klabu hiyo kwa misimu sita ijayo," Taarifa kutoka Tovuti ya Real Madrid ilisomeka namna hiyo . "mchezaji huyo ataoneshwa kwa mashabiki leo jumanne , 22 July, saa
20:00 (Kwa saa za Uipsania ),Na atatambulishwa katika sehemu Maarum inayofahamika kama Santiago Bernabeu's presidential box. na baadae atakwenda katika Dimba la Sntiago akiwaa amevaa jezi
Real Madrid na atazungmuza na waandishi habari hapo baadae ."
Usajiri wake unakuija mara baada ya juma moja tu kusainishwa kwa Mjerumani
Toni Kroos, akitokea
Bayern Munich ya Ujerumani.
No comments:
Post a Comment