Chama soka cha wanawake mkoa DWFA
Kimeomba makampuni mbalimbali yazamini ligi ya soka ya wanawake mkoa wa Dar es salaam ambayo inatarjia kuanza may 17 mwaka huu  na Jumla ya timu kumi na moja zinarajia kushiriki  katibu mkuu wa chama hicho Stephania Kabumba amesema leo hii timu hizo nii
SAYARI  ,MBURAHATI ,MNDELA ,MCHANGANI ,JKT, EVERGREEN, VINGUNGUTI QUEEN, AMNI QUEEN ,REAL TANZANITE,

Stephania kabumba katibu mkuu (DWFA)Chama cha soka cha wanawake mkoa wa Dar es salaam

Mkurugenzi wa ufundi wa shirikisho la soka tanzania tff sunday kayuni akipanga ratiba na wandishi habari
MAKUNDI YA KILIMANJARO  TAIFA CUP NDIYO HAYA
KITUO  RUVAMA
KUNDI LA 1 MTWARA
                    LINDI
                     TEMEKE
                     RUVUMA
KITUO MBEYA
  KUNDI 2 RUKWA
       IRINGA
       ILALA
       MBEYA
KITUO  DODOMA
KUNDI LA 3SINGIDA
     MOROGORO
     TABORA
     DODOMA
KUNDI LA 4KITUO MWANZA
SHINYANGA
      KIGOMA
      KAGERA
      MWANZA
KITUO ARUSHA
KUNDI LA 5 MARA
KITUO ARUSHA
    MANYARA
    KILIMANJARO
    ARUSHA
KITUO TANGA
KUNDI LA 6
    TANGA
    PWANI
    KINONDONI
No comments:
Post a Comment