24 May 2009
HATA PIKIPIKI HUWA ZINAKODISHWA
Moja kati ya vitu ambavyo watanzania huwa wanafanya siku zote katika maisha yao ni kutaka kufika malengo wanayao jiwekea kutoka maisha kuwa magumu pikipiki unazo ziona hapo chini ambazo zipo katika kituo cha mabasi ya nanenane mkoani Morogoro ni kati mbinu ambazo vijana wa mji huo wameweza kubuni ilikupata fedha kuwapeleka watu wanapotaka kwa mapatano ya bei nafuu. Kwani hata sehemu nyingine katika Tanzania hii watu hutumia TAKSI, BAJAJ,BAISKEL lakini hawa wameamua kutumia pikipiki.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
lisungu_chisara@yahoo.com
TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA
No comments:
Post a Comment