Shindano la MAISHA PLUS ambalo limekuwa kivutio hasa kwa watazamaji pia Tanzania Nzima linaanza Tena hivi karibu akizungumzia Shindano hlio mkurugenzi wa Maisha plus Masoud kipanya amesema Usaili umenza leo Tar 22 july kwa mchakato wa kugawa fomu kwa kuzingatia mgawanyo wa kikanda.
Vilevile Mshindi wa maisha plus season 1 ambaye ni Mshiriki Kutoka Zanzibar alisema Kipindi cha maisha Plus ni zaidi ya Maisha kwani unajifunza vitu vingi ikiwemo zaidi ya kuishi na watu mbalimbali wenye tabia tofauti vilevile unapata maisha halisi ya Kijini na Uhalisia wake.22 July 2009
MAISHA PLUS YAJA TENA
Shindano la MAISHA PLUS ambalo limekuwa kivutio hasa kwa watazamaji pia Tanzania Nzima linaanza Tena hivi karibu akizungumzia Shindano hlio mkurugenzi wa Maisha plus Masoud kipanya amesema Usaili umenza leo Tar 22 july kwa mchakato wa kugawa fomu kwa kuzingatia mgawanyo wa kikanda.
Vilevile Mshindi wa maisha plus season 1 ambaye ni Mshiriki Kutoka Zanzibar alisema Kipindi cha maisha Plus ni zaidi ya Maisha kwani unajifunza vitu vingi ikiwemo zaidi ya kuishi na watu mbalimbali wenye tabia tofauti vilevile unapata maisha halisi ya Kijini na Uhalisia wake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
lisungu_chisara@yahoo.com
TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA
TANGAZA KWA MFUMO HUU
No comments:
Post a Comment