Jackson Kalikumkumtima mratibu wa pambano la miss ilala akisisitiza jambo anaye mfuata ni emilian rwejuna manager masoko kutoka vodacom walipokuwa wakitambulisha waandishi wa habari ma miss watakao shiriki Miss Ilaa
Shindano la kumtafuta miss Redds ilala litatoa mashindano matatu ambapo yatajulikana kama Miss Issamichuzi blogspot Photogenic,Miss Talent,Miss Fabak Fashion Personality na miss Talent Katika utafutwaji wa miss Photogenic mashabiki watakiwa kuingia kwenye Blog maarufu nchini Tanzania issamichuzi blogspot na kufuata maelekezo .
Warembo hao kumi na saba wataondoka kesho kwenda Arusha kwa ajili ya kutembelea mbuga za wanyama na kupata mafunzo mbalimbali
No comments:
Post a Comment