Thomas -andre molving mkurugenzi wa uzalishaji wa kampuni hiyo akiwa amesimama mbele ya bangoliliandikwa sasatel akionyesha alama ya dole Gumba kuashiria mambo yameiva.
Kampuni mpya ya mawasiliano ya sasatel imeanza kutoa huduma za mawasiliano kwa gharama nafuu kampuni hiyo ipo chini ya kampuni ya Dovetel ambayo ilisajiriwa hapa nchini mwaka jana vilevile kampuni hiyo inatoa huduma za internet kwa wateja wa manyumbani na ofisini simu za mkononi na mezani na huduma nyinginezo zinazohusiana na mawasiliano kwa kutumia mtandao vilevile imedhamilia kutoa huduma kwa wateja wake kwa gharama nafuu na kutoa huduma bora kwa wateja ilikufanikisha mawasiliano kufanyika kwa ubora na kiwango kinachotakiwa vilevile wateja watakao jiunga kwa mara ya kwanza watapa punguzo nafuu ,kampuni hiyo imejenga minara yake sehemu mbalimbali jijini Dar es salaam, ikwemo kariakoo ,ilala,Changanyikeni,,tangi bovu kigamboni na msasani.
safai sana..angalau kupunguza unyonyaji wa makampuni yaliyopo. Yanatunyonya vibaya sananahuku wakiwa na wabongo wenye nyodo mbaya bila kujua wanafaidi kidogo sana ktk hiyo dhuluma
ReplyDeleteVisit Bongo