Hasheem thabit akizungumza na waandishi wa habari katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere ambapo amekuja kwa likzo fupi Hasheem Thabit akiwa amesimama na Naibu waziri Habari utamaduni na Michezo Joel Nkaya Bendera wakiwa wanaangalia wacheza ngoma awapo pichani mara baada ya kuwasili bongo leo hii
No comments:
Post a Comment