HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

3 November 2009

ZIARA YA RAS NAS HUKO OSLO

Ile ziara ya mwanamuziki Ras Nas aka Nasibu Mwanukuzi katika miji sita ya Norway karibu inamalizika. Hapa ni kwenye ukumbi wa MS Innvik, Oslo, ambapo Ras Nas na kikosi chake waliwasha moto mkali usiku wa Halloween; Jumamosi iliyopita. Hivi sasa Ras Nas amejipanga kufyatua CD ya muziki na mashairi "Double Focus". Mashairi yanatoka kwenye kitabu ambacho Nasibu aliandika mwaka 1989 pamoja na shairi moja la Shabaan Roberts “Titi la Mama”. Kwa hiyo hivi sasa kaa chonjo! Wadau, Kongoi Productions

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers