HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

3 December 2009

RAS NAS ndani ya Sri Lanka

Ras Nas pamoja na kikosi chake wakiwasili Colombo leo (Jumatano) tayari kwa maonyesho matatu miji ya Colombo na Galle, Sri Lanka, wikiendi hii. Ras Nas anawasilisha Norway na Tanzania vile vile!Toka kushoto Larry Skogheim (besi, Norway), Ras Nas aka Nasibu Mwanukuzi (sauti na ridhim gitaa, Tanzania), Dag Pierre (solo gitaa, Sweden), Chuck Frazier (solo namba mbili, Houston Texas), Uriel Seri (drums, Ivory Coast), Karlos Rotzen (kinanda, Martinique).Habari ndiyo hiyo wadau.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers