10 July 2010
KOSTARDIN PAPIC ARE YOU SERIOUS
Hivi kundi lote la wachezaji wa kigeni hawa wanataka kucheza yanga wachezaji watanzania mko wapi tunajenga timu ya taifa za wenzetu sasa wachezaji kumi wa kutoka nje ya tanzania huuu ni uhuni sasa tutapata wapi timu ya taifa ya tanzania kama kuna kundi la wachezaji wa kigeni kiasi hiki TFF mimi nafikiri mkaze uzi hivyo hivyo hatuwezi kuvumilia jambo hili atakaye nichukia anichukia na wachezaji watanzania ndio muone kuwa wenzetu wanajua nini maana ya soka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
lisungu_chisara@yahoo.com
TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA
No comments:
Post a Comment