HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

3 August 2010

MISRI YACHOMOA HARAMBEE KUIVA STARA TAIFA.

Afisa habari wa shilikisho la soka la kandanda tanzania akilezea mabadiliko ya mchezo wa kirafiki katika ya stars dhidi ya harambee stars ya kenya mchezo utakaofanyika katika uwanja mpya wa taifa baada ya mafarao wa misri kuchomoa dakika za mwsho dhi ya tanzania baada ya kushindwa kutuma majina kwa muda muafaka kwani kocha mkuu wa timu alikuwa ajawasili nchini.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers