HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

20 September 2010

POULSEN KANIPIGA MSASA

Leo nilikuwa na kocha mkuu wa timu ya taifa ya tanzania jan borge pooulsen alipokuwa akitupa msasa jinsi ya kuandika habari za mchezo katika jicho la kiufundi zaidi actualy hivi ndivyo nilivyokula bata katika picha ya pamoja kafundisha mastaa wa denmark hata yule kiapa wa man u peter scheimecher kafundishwa na huyu.
Apa ni kocha mkuu wa timu ya taifa akitoa material kwa waandishi wa habari wansosndika michezo nchini hawapo pichani.
Hapa anatoa mchanganua wa jinsi timu inavyotakiwa kucheza kiwanjani muda wote kitu ambacho anasema huwa angalia timu pinzania inachezaje yeye uangalia ya kwake inachezaje angalia mastaa anangalia wachezaji anachagua wachezaji wanaofanya vizuri angalii vilabu kwani hana timu tanzania

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers