15 October 2010
JAMANI CHONDE BENDERA YA TAIFA MSITUANGUSHE
Leo timu ya taifa ya mchezo wa ridhaa ya golf imepewa bendera kuleerekea buinos aires argentina kushiriki michezo ya golf ya ridhaa lakini inakwea pipa rasmi jumapili na umuaonaye pichani ni leonard thadeo akimkabidhi hawa wanyenche nahodha wa timu hiyo sasa mimi maoni yangu wanaweza kushinda maana katika michezo mingine wimbo wa taifa haupigwi mpaka washinde je mmewapa cd ya wimbo taifa wa tanzania tusije tukaabika ugenini bora nyumbani kuliko ukweni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
lisungu_chisara@yahoo.com
TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA
No comments:
Post a Comment