HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

9 November 2010

Jan borge poulsen aweka kikosi cha kilimanjaro stars hadharani

Aliyeshika karamu ndiye kocha mkuu wa timu ya taifa ya taifa stars na kilimanjaro stars jan b poulsen pembeni yake ni wawakilishi kutoka serengeti breweries wakaiwa wadhamini wakuu wa mashindano hayo

Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania bara kilimanjaro stars jan borge poulsen ameweka wazi kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania bara kitakachoshiriki michuano ya challenge cup itakayofanyika hapa nchi kuanzia tarehe ishirini na saba huku akikili kuwa baadhi ya wachezaji ambao watacheza katika timu ya Zanzibar kama nadir haroub wataweka pengo na wataharibu mfumo wa timu yake ambapo amesema kwa sababu za kiinchi inabidi akubalianae na hari harisi ya kisiasa kati ya nchi hizi mbili akitaja timu hiyo ya taifa ya Kilimanjaro stars yapo majina ambayo yaliwahi kutikisa wakati timuilipokuwa ikifundishwa Marcio maximo raia wa brazil makipa

juma kaseja,said Mohamed ,shaban kado, walinzi ni shadrack nsajigwa, erasto nyoni Stephenmwasika, ali shamte ,idrisa Rashid na juma nyoso, viungo ni shaban nditi, nurdin bakari na henry joseph, jabir aziz , nizar khalfan, machako ,Mohamed banka, na kigi makasi wasambauliaji ni mrisho ngasa, dany mrwanda,jonh book ,gaudence mwaikimba na Thomas ulimwengu anacheza timu ya taifa chini ya miaka ishirini na vilevile anacheza soka ya kulipwanchini Sweden

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers