Picha ni kwa msaada wa fullshangweblogspot.com/
Mwili wa aliyekuwa mchezaji wa timu ya taifa ya tanzania na yanga ya dar es salaam juma mkambi ukiwa tayari ya kwa kuzikwa ambaye amefariki majuzi kutokana na ugonjwa wa vidonda vya tumbo marehemu alikuwa moja kati ya wachezaji ambao walishiriki michuano ya mataifa ya frika nchini nigeria mwaka 1980 mungu ailaze mahala pema
No comments:
Post a Comment