HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

15 November 2010

YANGA YATOA MAAMUZI KUHUSU NIDHAMU ZA WACHEZAJI WAKE

Pichani ni msemaji wa yanga luis sendeu akifafanua jambo kuhusu nidhamu za wachuzeji wake wa yanga tunaomba radhi kwa picha mbaya
Kamati ya nidhamu ya yanga imejadiri taarifa mbalimbali kuhusu nidhamu za wachezaji wao hasa katika mfulilizo wa ligi kuu soka ya Vodacom iliyoisha hivi karibuni aidha kwa upande wao yanga imemsamehe mchezaji Mohamed mbegu baada ya kukili kosa la la kutoroka kambini wakati wakati wa mchezo dhidi ya azam fc katika ligi kuu ya vodacom kamati hiyo imesema kwakuwa amefanya hivyo kwa mara ya kwanza na kukiri imeamua kumsamehe, aidha klabu hiyo imeomba taarifa za kuhusu kuhusu mchezaji wa timu yao Ivan Knezevic kabla ya mchezo hajaadhibiwa kwa kile kinachoonekana kuwa yanga haikubaliani na adhabu hiyo. Aidha ya imepinga vikali adhabu ya faini ya shilingi laki tano baada ya ya wachezaji wa timu hiyo kudaiwa kufanya vurugu kiwanja yanga imesema kuwa hawajui tff imetumia Vigezo gani kugundua kuwa fujo zilizotokea ni za washabiki wa yanga katika mchezo wa ligi kuu Vodacom dfhidi ya African lyon.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers