31 July 2012
Utoaji hela wa nama hii unaweza kuchochea rushwa
Katika uendeshaji sheria na kanuni za mhezo kunyanyua vitu vizito na ukimbizaji farasi kocha wa timu ya japan kochezi uchimira alrweqkwenda kukataa rufaa baada ya kuhisi mashine ya kuhesabu alama za ushindi ilkosea na kutokutenda haki kwa alitikakiwa kuwasilisha rufani yake ambapo kwa mijubu wa mashine mchezaji wake alkamata nafasi ya nne katika sherai za kimataifa zinasema kuwa Ada lazima kwa mujibu wa malalamiko maafisa wa kijapani walichukua malalamiko yao yaote na kumpa kocha wao apereke lakini jambo kubwa ambalo watu wa uliza kwanini apereke fedha hizo mkononi zilikuwa $100 kinaweza kuwa kichocheo cha rushwa pengine kwa pesa kuongezwa zaidi ya zinazotakiwa na kama wakishindwa rufani pesa hairudishwi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
lisungu_chisara@yahoo.com
TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA
No comments:
Post a Comment