Mjamaica Usain Bolt akishangilia Nishani ya Dhahabu mara kushinda mbio za mita mia mbili katika mashinadano ya kiangazi ya olimpick yanayofanyika london uingereza nakupata Nishani ya dhahabu
Mjamaica Usain Bolt akishangilia mara baada ya kuvuka mstari wa kumaliza mbio za mita mia mbili mbele ya ndugu yake kutoka jamaica Yohan Brake wakulia katika mashindano ya London Olimpick Usiku wa tarehe 9
Pichani ni Usain Bolt, aliyepo katika kushoto ni rai mwingine wa Jamaica Yohan Blake, na kulia kabisa Waren Weir wakishangilia Nishani walizopata katika mashindano ya mita mia mbili Bolt ameapata Dhahabu Blake Amepata fedha na Weir amepata shaba
No comments:
Post a Comment