Rais wa ZDFA Amani Ibrahim Makungu akiongea na mwandishi wa K-SPORT.COM Jackson Sekiete huko Unguja |
SIKIZA HAPA AMANI IBRAHIM MAKUNGU RAIS ZDFA
Rais wa ZDFA taifa Amani Ibrahim Makungu amemuachia makamu wa Rais wa kwanza toka unguja Haji Amir kukaimu madaraka wakati huu atakapo kuwa nje ya Nchi katika shughuri za kikazi amesema anafanya hivyo kama Katiba ya ZDFA inavyotaka Amani Makungu ambaye ni moja kati ya wafanya biashara Maarufu Amekwenda Nchini Canada kuweka sawa baadhi ya mambo na atakaporejea atakuwa na jukumu moja la kuhakikisha soka ya ya kisiwa hicho inakwenda inavyotakiwa aidha Makungu amekuwa mstari wa mbele kuwa wajibisha wale wote ambao wanajaribu kurejesha nyuma soka la kisiwa hicho nyuma, na amekuwa akiwatolea uvivu viongozi ambayo wanafanya kazi kwa kukosa Uadilifu.
No comments:
Post a Comment