Baada ya shirikisho la soka la
kimataifa la fifa kupitisha maamuzi ya kihistoria kuhusu mpango wa kutumia
teknolojia ya kifaa cha kugundua goli kama limeingia au halijangia (GLT),
kampuni mbili za watoa huduma hiyo , GoalRef na Hawk-Eye, wametia saini ya
makubariano ya leseni ambapo iliaanza kazi 2011 ambapo sasa wataanza utaratibu wa kuweka mfumo huo katika viwanja mbalimbali .
Kati ya October 2011 na June 2012, kampuni zote zilifuzu majaribio
katika maabara ya ya michezo na katika
mechi za kawaida ziliweza kufanya kazi vizuri ,ili fifa ikupatie kibali, kampuni ilibidi
zitume maombi ya kwa shirikisho linalosimamia bidhaa za vifaa vya michezo
Kwa mujibu wa sheria za WFSGI), vilevile
kuzingatia viwango vya kimataifa vya
biashara. Kampuni hizo zinatakiwa kuhakikisha upatikanaji wa bidhaa hizo
zinapohitajika ,pindi mfumo huu
unapowekwa kiwanjani lazima ujaribiwe ilikujua kama unafanya kazi inavyotakiwa
Mifumo itakayofanya kazi kwa usahihi
katika mechi rasmi itapewa zawadi ya ubora wa FIFA PRO mark.
No comments:
Post a Comment