Timu ya soka yanga ya DSM imeikandamiza timu ya soka ya Toto afrikans ya mwanza kwa mabao matatu kwa moja katika mchezo wa ligi kuu ya soka ya premier ulichezwa katika uwanja wa ccm kirumba ambap magoli ya yanga yalifungwa na Didier Kavumbagu ,Mbuyu Twite Na na Jery Teget wakati goli toto african yanga ilijifunga yenyewe baada ya beki wa timu timu hiyo Nurdin Bakari kuokoa mpira vibaya na kutinga wavuni lakini timu ya toto afrika ilikosa pigo la pernaty baada ya Emanuel sita kupiga mpira nje ya kiwanja mpaka mwisho wa mchezo YANGA 3-1TOTO AFRICAN Timu
Pichani ni wachezaji wa yanga wakipashamoto misuli
Mara baada ya mechi kwisha katika uwanja wa CCM kirumba mwanza hari ilikuwa ya aina hii baadhi ya mashabiki waliingia kiwanjani .
Kwa wale ambao wanaujua vizuri uwanja mpya wa taifa kuna eneo linaitwa mixed zone sehemu ambayo waandishi wa habari huzungumza na mchezaji yoyote yule wanaemtaka hata kocha ,
hii ndio mixed zone ya uwanja wa CCM Kirumba mwanza ambapo pichani ni kocha mkuu wa timu ya soka ya toto afrikan ya mwanza Jonh Tegete akihojiwa na waandishi.

No comments:
Post a Comment