Mjerumani Ewald Lienen amechaguliwa kuwa kocha mkuu wa timu ya AEK Athens mpaka msimu utakapokwisha ,ambapo timu hiyo kutoka UGiriliki imetangaza siku ya juamatano. Vyombo vya Habari vimeripoti kuwa kocha mwenye miaka 58 atakuwa akipata ujira wa uro €150,000 huku akipewa nafasi zaidi kukaa msimu ujao katika benchi la ufundi la timu hiyo kocha huyo ,anafahamika Zaidi Nchini humo kwani aliwahi kuifundisha soka nchini UGiriki akiwa na klabu ya Panionios mwaka 2006 hadi 2008. pia aliwahi kuifundisha Olympiakos mwaka 2010. kocha huyu amewahi kufundisha Vilabu vya MSV Duisburg (1993-1994), Hansa Rostock (1997-1999), FC Koln (1999-2002), CD Tenerife (2002), Borussia Monchengladbach (2003), Hannover 96 (2004-2005), 1860 Munich and Arminia Bielefeld (2010-2011).
Lienen anaziba nafasi ya Vangelis Vlachos alifukuzwa mwezi uliopita na kupatwa na matatizo ya kiuchumi ambapo timu hiyo ilanza vibaya katika ligi ya nchi hiyo ambapo ilishnda mechi moja na kwa sasa ina alama mbili tu katika mechi ilizo cheza na inakamata mkia

No comments:
Post a Comment