HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

10 October 2012

Roger Federe AMSHINDA M Taiwan's Lu Yen-hsun [


Mchezaji nambari moja kwa Ubora wa Tennis  Duniani Roger Federer na Novak Djokovic  wameingia katika hatua ya tatu katika michuano ya   Shanghai Masters  mchezo uliofanyika jumamatano huku mchezaji wa uingereza na bingwa mtetezi  Andy Murray akiingia katika hatua inayofuata bila kucheza .

Muda mashindano wa ulipoanza miamba ya Tennis Duniani mmarekani Sam Querrey alimshinda  Mjapan  Kei Nishikori kwa set  2-6, 6-1, 6-4 ambaye  siku chache zilizopita alikuwa mchezaji wa kwanza  kuutwa ubingwa wa michuano ya wazi ya Japan na kuwa mchezaji wa kwanza kushinda michauno hiyo  
Mswizeland nambari moja kwa ubora Dunia Roger Federer, alipigana vilivyo ilikushinda mechi yake aliyomshinda MTaiwan  Lu Yen-hsun kwa set  6-3, 7-5 na hivyo atapambana na Ndguye Stanislas Wawrinka.
Huyu ni mchina aliyetaka kumuuua Federel kushoto 

Federer's  ambaye alijaza umati wa watu  katika kiwanja cha Shanghai  baada ya kutaka kuuwawa na mwandishi mmoja wa habari wa  China  lakini Bingwa huyo mara 17  wa mashindano ya grand sam ,amesema alichofanya ni kuweka akiri yake yote kiwanjani  hapa namnukuu, najua ilikuwa mechi nzuri kwangu lakini siku kuvunjika moyo ndio jambo zuri wakati mwingine unatumaini kufanya vizuri kidogo 

Akizungumzi jaribio la kutaka kuuwawa   Federer Amesema kuwa "niliskijia kawaida ,unajua  . lilikuja wazo la haraka " lakini  mechi ilipoanza sikuwa nikifikiria tena kuhusu jambo hilo ,Djokovic, atarejea katika ubora wake wa namba moja kama atashinda  ubingwa na  Federer kupoteza hatua ya Robo fainali baaada ya mburgaria kuchemka ndani ya dakika 54  Grigor Dimitrov Dhidi ya Federel -3, 6-2 

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers