HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

13 November 2012

KWANINI AFRIKA? :MASAI UJIRI



  Masai Ujiri, Nikiwa mkurugenzi wa  NBA, Ninatazama vitu vyenye umuhimu . Na nikiwa  nakutoka  Nigeria, Nina amini kuwa afrika   inavyanzo vipaji vingi vya wanamichezo  
kwani mpaka sasa nchi za  Angola na  Tunisia na ukitazama  Senegal na  Sudan ya kusini , kuna wanamichezo wa kufa mtu katika bara hili  .

Kuna baadhi ya makabila kule  Sudan na Senegal wanawastan  wa urefu wa  futi 6-hasa miguu ,  kitu ambacho ni sababu kubwa kwani ni moja ya vigezo vya NBA. watu kutoka Mali , Nigeria,  na Congo  huwa wanaonekana kuwa wapo imara zaidi  na tunahitahi kuweka mipango ya kutembelea maneno haya na kuvuna vipaji na kuvitengenezea miundo mbinu .

Sio muda mrefu sana hata mpira wa Miguu ulikuwa katika hari kama hiyo lakini zilifanyika jitihada kama hizo .

Watoto kutoka afrika wanaanza kucheza mpira wakiwa na miaka sita au saba si wadogo sana mpira wa mguu na kikapu ukiwa marekani na unakipaji watu watakutafuta 
.
Na hicho ndicho kilichofanyika hata katika mpira wa miguu afrika kwani shule za soka zimekuwa zikongezeka kwa wingi sasa na watu wanazitumia inavyotakikana .na unaweza kuoana kila timu marekani ina wachezaji  kutoka afrika  .

Nikitazama kwa uzoefu wangu kama Mnigerian na , nikiwa mkufunzi na sasa mkurugenzi , Nina amini kuwa kikapu kinaweza kufuata njia hiyo hiyo tunaanza kwa kuweka njia .Tunahitahi kuanza kwekeza katika viwanja vya mchezo huu na kuweka viwanja vya nje na ndani na sehemu ya mazoezi ya viungio kwa ajiri ya watoto.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers