Arsenal Imeshindwa kulinda magoli yake mawili iliyopata katika kipindi cha kwanza dhdi ya Schalke 04 na kufanya kundi B la arsenal kuwa katika hari ya usawa ambapo timu yeyote kati tatu za juu kuwa na uwezo wa kufuzu hatua ya motoano ya ligi ya mabingwa barani ualaya huku kukisalia mechi mbili
Theo walcot akiinza kwa mara ya nne tangu msimu huu uanze ndiye aliyeiptaia arsenal goli kuongoza kabla ya Olivier Giroud kufunga goli la pili kwa kichwa
lakini Klaas-Jan Huntelaar aliirudisha timu ya mchezoni kabla ya nusu ya kwanza kumalizika
Jefferson Farfan ndiye aliyeiokoa shalke o4 na kugawana alama na Arsenal .
Manchester City ilijitahidi kurejesha magoli mawili kutoka kwa ajax katika uwanja wa nyumbani wa etihad lakini majariwa ya kusonga katika michuano ya ligi ya mabaingwa yapo kwenye mikono ya wenyewe kutokana na matoke ya mechi nyingine .
Siem de Jong aliwaonyesha kuwa city hawajui kukaba mara baada ya kufunga mara mbili ndani ya dakika kwa kona ndani dakika 17 za mwanzo wa mchezo .
City ilirejesha kupitia kwa Yaya Toure's akimalizia mpira safi kutoka kwa Sergio Aguero .
Aguero alifunga goli lakini katika dakika za mwisho lakini alikuwa amekwisha otea .
Ili kufuzu hatua inayofuta ya kumi na sita bora 16, Roberto Mancini's na vijana wake wanatakiwa kushinda mechi zote mbili zilizo saraia za kundi D Dhidi ya Real Madrid na Borussia Dortmund, huku wakiomba Dortmund kuifunga Ajax na Ajax itoke suluhu dhidi Madrid.

AC Milan
Alexandre Pato (73)
1
Málaga Club de Fútbol
Eliseu (40)
Alexandre Pato (73)
1
Málaga Club de Fútbol
Eliseu (40)
----------------
Paris Saint-Germain FC
Alex (16),
B. Matuidi (61),
J. Ménez (65),
G. Hoarau (80)
0
GNK Dinamo Za
Alex (16),
B. Matuidi (61),
J. Ménez (65),
G. Hoarau (80)
0
GNK Dinamo Za
--------------------------------------
RSC Anderlecht
D. Mbokani (17)
0
FK Zenit
D. Mbokani (17)
0
FK Zenit
---------------------
Olympiakos CFP
Paulo Machado (4),
L. Greco (80),
K. Mitroglou (82)
1
Montpellier HSC
Y. Belhanda (Pen 67)
Paulo Machado (4),
L. Greco (80),
K. Mitroglou (82)
1
Montpellier HSC
Y. Belhanda (Pen 67)
----------
FC Dynamo Kyiv
0
FC Porto
0
FC Porto
No comments:
Post a Comment