HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

8 November 2012

MKENYA AIPEREKA CELTIC HATUA YA MTOANO MUNICH YAWAUA WAFARANSA JUVE YAFUFUKA ,MAN U YATOKA NYUMA KUUA WARENO TATU MOJA !!!


Celtic Imepata ushindi safi na kutinga hatua ya kumi na sita Bora   16 katika ligi ya mabingwa ulaya dhidi ya Barcelona huku kijana kutoka kenya Victor Wanyama akipachika bao la uongozi kwa kichwa huku golikipa wa Barca  Victor Valdes asijue cha kufanya .
 Barcelona ilijitahidi kutafuta goli lakini ,  Tony Watt ambaye aliingia kutoka kwenye benchi aliipatia Celtic  goli la kumalizia kazi .
 Lionel Messi  aliisawazishia timu yake goli katika dakika ya tisisni lakini halikusaidia na kuifanya Barcelona kupoteza mechi ya kwanza katika ligi ya mabingwa barani ulaya msimu huu
 lilikuwa tukio zuri hasa kwa  Neil Lennon na vijana  wake wakiweka kumbukumbu nzuri kwa kuifunga  Barcelona katika dimba la
 Celtic Park   ambapo dimba hilo ililipuka kwa kelele kwani ni moja kati ya mechi kubwa  zaidi kuchezwa katika kiwanja hicho.
barcelona ilirejea kucheza pasi zake za kuvutia lakini siku haikuwa yakwa yao.

Manchester United  imefanya kile ilichofanya wiki jana mara baada ya kutoka nyuma na kuimaliza  Braga katika uwanja wao wa nyumbani ambao umejengwa katika ya mwamba  na kutinga hatua ya kumi na sita bora ya ligi ya mabingwa ulaya . 
 Alan aliiapatia  Braga goli la uongozi baada ya kupiga mkwaju safi wa penati  uliomshinda mlinda mlango wa united De Gea  . 
 Lakini katika hari ya kutokutegemea umeme ulizimika kiwanjani kabla ya mchezo kumalizika huku kukiwa na mvua na mpira ulisimamama kwa dakika kumi na mbili 
  Robin van Persie aliyeingia kutoka kwnye Benchi alimnyanyulia mpira golikipa wa Braga  Beto baada ya kutoka golini kabla ya  Wayne Rooney kufunga kwa mkwaju wa penati lakini kijana kutoka Mexico Javier Hernandez  alifunga goli dakika ya mwisho ya mchezo na kuipa united ushindi safi wa ugenini .


Chelsea
3 vs 2
Shakhtar
6′ Fernando Torres
Willian 9′
40′ Oscar
Willian 47′
90+4′ Victor Moses
 

Bayern
6 vs 1
Lille
5′ Bastian Schweinsteiger
18′ Claudio Pizarro

23′ Arjen Robben

28′ Claudio Pizarro

33′ Claudio Pizarro

66′ Toni Kroos
November 7, 2012 2:45 PM EST
Allianz-Arena — München
Referee:‬ O. Hațegan‎
Attendance:‬ 68000‎

Juventus imerejesha matumaini ya kufuzu hatua inayofuata baada ya kuibuluza  FC Nordsjelland, katika ligi ya mabingwa ulaya kwa  bao  4-0 wakiwa nyumbani na kupata ushindi wa kwanza katika kundi  E. Claudio Marchisio, Arturo Vidal, Sebastian Giovinco na Fabio Quagliarella ndio waliongamiza timu pinzani ambao jina lao la utani ni   Bianconeri ambao walioneka wameishia kwa hawakuwa na mbinu wala  ufafanuzi wa kupata goli wa alama mchezoni  .
MATOKE YOTE 
Bayern Munich6 - 1Lille
Benfica2 - 0Spartak Moscow
Braga1 - 3Man Utd
Celtic2 - 1Barcelona
CFR Cluj-Napoca1 - 3Galatasaray
Chelsea3 - 2Shakhtar Donetsk
Juventus4 - 0Nordsjaelland
Valencia4 - 2BATE Borisov

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers