Mchezaji wa Timu ya taifa ya Tunisia Youssef Msakni alimaliza mechi ya mafahari wawili kutoka afrika kaskazini pale Tunisia ilipo ikandamiza
Algeria katika dakika za mwsiho za mchezo wa kombe la mataifa ya afrika mchezo uliochezwa katika uwanja wa
Rustenburg.
Na kuipatia timu yake ushindi wa bao moja sifuri
Tai hao sasa wanaungana na Tembo wa cote d'voire ambao waaliifunga Togo mabao mawili kwa moja katika mechi ya mwanzo ya kundi D
No comments:
Post a Comment