tu Lengo Letu ni kumfanya kila mmoja kuwa sehemu ya klabu na kuwa na mahusiano na Timu Arsenal . Tunajua hayo yanakuja kwa kushinda vikombe lakini pia jinsi tunavyopanga mambo yetu hilo litakuwa moja ya matakwa ye
Peter Hill-Wood
Akitangaza matokeo ya hayo, Mwenyekiti wa timu hiyo Peter Hill-Wood : Amesema “ Leongo letu ni kupambana na vilabu vikubwa hapa uingereza na ulaya kwa ujumla kwa kutazama uwezo wetu wa kiuchumi ambao utaipatia klabu uwezo na uhuru.
"Lengo Letu ni kumfanya kila mmoja kuwa sehemu ya klabu na kuwa na mahusiano na Timu ya Arsenal . Tunajua hayo yanakuja kwa kushinda vikombe lakini pia jinsi tunavyopanga mambo yetu hilo litakuwa moja ya matakwa yetu.”
Ukitazama kwa sasa jedwari inaonyesha tumepata faida kabla ya kodi £17.8 million. Na hii inatokana na mauzo ya wachezaji £42.5 million lakini pia akaunti yetu inaonyesha faida ya uwekezaji ya pauni £40.9 million ya kununulia wachezaji kama - Lukas Podolski, Santi Cazorla na Olivier Giroud - na kuongeza mikataba kwa wachezaji waliopo .
Ambapo klabu imeongeza mikataba ya Jack Wilshere, Theo Walcott, Kieran Gibbs, Aaron Ramsey, Alex Oxlade-Chamberlain na Carl Jenkinson.na hivi karibuni klabu imemnunua Nacho Monreal kutoka Malaga.
Kutokana na kubadili kwa ratiba za mechi za nyumbani klabu imepata hasara kutoka pauni £113.5 million hadi £106 kwa mwaka jana japokuwa ,kwa matakeo ya jumla mapato ya meongezeka kwa pauni £1.9 million pauni £0.5 million mwaka 2011.
Klabu haina deni la muda mfupi ambapo itasaidia kujenga uchumi kwa muda mrefu zaidi huku wakiwa na ongezeko £123.3 million. ambapo kwa mwaka juzi ilikuwa pauni
£115.2 million in 2011.
kwa sasa tutapata pesa zaidi kwani tumeongeza kandarasi na Emirates ambao utaiingizia arsenal pauni £150 million. na hii itaongeza mapato kutokana na kuingia kandarasi nyingine na Airtel na Malta Guinness wakidhamini zaidi safari za timu wakati wa kujindaa na msimu mpya .
Mr Hill-Wood ameongeza : “ Emirates ni moja kati ya wadhamini wakuu ambao wamekuwa wakituunga mkono sana .”
No comments:
Post a Comment