Watoto wawili wa kiume wa mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Ghana Abedi Pele wamesema hawakufurahishwa na walivyokuwa wakitendewa na Mkufunzi mkuu wa timu ya taifa ya Ghana na wameamua kustaafu kuichezea timu ya taifa ya Ghana .
Maamuzi hayo ambayo yamechukuliwa na wachezaji hao wawili Jordan and Dede Ayew ambao wanachezea timu ya Olympique Marseille tayari wamekwisha wasiliana na Chama cha soka cha Ghana lakini bado chama hicho hakija thibitisha Taarifa hizo .
Andre ambaye aliachwa kuchezea timu hiyo katika mataifa ya Afrika alisikitsihwa pia na mdogo wake kuachwa kuichezea timu hiyo katika michuano ya kimataifa ya kombe la Afrika kuwa hawakuwa na Nidhamu .
Nyota wa Real
Madrid Michael Essien hayuko tayari kujiunga na Ghana wakati
Kevin - Prince Boateng bado anasubiriwa kurejea kwenye timu ya taifa ya Ghana baada ya kustaafu Mwaka 2011.
No comments:
Post a Comment