Kutokana na kushindwa kumalizika baadhidi ya viwanja shirikisho la soka duniani FIFA, na kukubaliana na chama cha soka cha Costa Rica , kuwa hakina njia nyingine zaidi kutafuta nchi nyingine ya kuandaa kombe la dunia la wanawake chini ya miaka 17 .
shirikisho hilo limelazimika kukiomba radhi chama cha soka cha Costa rica kwa jitihada zote walizo onyesha
na sasa wanatafuta Nchi nyingine itakayo weza kuandaa fainali hizo za mwakani haraka iwezekanavyo ambapo agizo hilo litatolewa katika kikao kitakachokaa tarehe 20-21 march 2013 Huko Zurich
No comments:
Post a Comment