HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

27 February 2013

RONALDOOOO AIUA BARCA NOU CAMP MESSI PATUPU

Barcelona's defender Gerard Pique (R) vies with Real Madrid's Portuguese forward Cristiano Ronaldo (L) during the Spanish Cup semi-final second leg football match FC Barcelona vs Real Madrid CF at the Camp Nou stadium in Barcelona on February 26, 2013. AFP PHOTO/ LLUIS GENE 

Wakiwa katika suruhu ya goli  1-1 ambayo waliipata mechi ya kwanza  ,Vijana wa  Jose Mourinho walionekana wenye hari kiwanjani huku mshambuliaji wao Cristiano Ronaldo akiwachanganya mabeki wa Barcelona  ,na akionyesha uwezo wa hari ya juu hasa katika kaunta atak  , .

 
Raia huyo wa Ureno alifungua ukurasa wa magoli kwa mpira wa pernaty dakika  12, Na kuwa mchezaji wa kwanza kufunga goli katika mechi sita mfululizo za El Clasicos tena akiwa ugenini na kuipa madrid ahueni katika kipindi cha kwanza .
 
Raphael Varane alimalizia mpira wa kona akiruka kichwa huru na kuwaacha mashabiki wa Real Madrid Kutoamaini kinachotokea  lakini  Jordi Alba's aliisawazishia timu yake na kuipa goli la kufutia mchezo machozi katika dakika ya 89 .

Los Blancos sasa wanasubiri mshindi kati ya Sevilla au  Atletico Madrid mchezo utakao chezwa May 18,Baada ya kupata ushindi wa jumla wa mabao manne kwa mawili .
Sergio Busquets, Cesc Fabregas na  Xavi  walianza kwa upande wa kiungo cha Barcelona , wakati  Carles Puyol alicheza pamoja na  Gerard Pique katika safu ya ulinzi  . wakati kwa  Madrid, Varane, ambaye alionyesha uwezo mkubwa mechi iliyopita alianza pamoja na  Sergio Ramos katika safu ya ulinzi 

Cristiano Ronaldo celebrates scoring for Real Madrid

Cristiano Ronaldo 13′ (PG)
 
 
Raphaël Varane 68′


Relentless Ronaldo torments Barcelona 







No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers