.
Bayern Munich ipo karibu kabisa kuingia hatua ya fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani ulaya baada ya kuibamiza Barcelona katika mkondo wa kwanza wa nusu fainali ya michuano hiyo .
Thomas Muller aliipatia bao la uongozi Bayern kwa kichwa na baadae Mario Gomez alifunga goli la pili kabla ya nusu ya kwanza kumalizka
Huku Lionel Messi akionekana kutokuwa sawa baada ya kuandamwa na majeruhi hakuweza kufua dafu ,
Thomas Mueller alipiga mpira wa kichwa kabala ya Mario Gomez ajafunga kwa shuti la mbali .
Mueller alitengeneza krosi safi ambayo ilikutana na David Alaba's na hakufanya makosa aliweka mpira kimiani dakika nane kabla ya mpira kwisha .
Barca hawakurahishwa na kitendo kilichofanywa na Robben's
cha kupiga mpira katika dakida za mwsiho wa mchezo .
Hakuna kingine , kwani Messi hakuweza kufua dafu kwani hakuweza kucheza kama ilivyotarajiwa baada ya kuumia msuri katika mechi za awali na kuifanya bayern kuonekana bora kiwanjani nakufika nusu fainali ya tatu katika miaka minne .
Mara ya mwisho Barca's kufungwa mabao mabao manne ilikuwa mwaka 1997 dhidi ya Dymano kiev ya ukrane leo wamefungwa tena mabao manne dhidi ya Bayern Munich .
No comments:
Post a Comment