Mtendaji mkuu wa klabu ya Arsenal Ivan Gazidis amethibitisha kuwa kocha wa klabu hiyo Arsene Wenger anataka kuongeza kandarasi nyingine ya kuinoa klabu hiyo baada ya msimu ujao .
Wenger's
ambaye kandarasi yake ya sasa inaisha mwakani na amaekuwa akitakiwa na klabu kubwa ,moja kati ya vilabu ni cha nyumbani kwao ufaransa ,ambapo Paris St Germain na klabu yake ya zamani ya Monaco huku zikiwa na wawekezaji na matajiri kutoka nje ya ufaransa .
kulikuwa kuna hari ya kutokuelewa kwa mashabiki wa klabu hiyo msimu uliopita kuwa mfaransa huyo mwenye miaka 63- na inaweza kuwa moja ya changamoto kwani atakuwa amekaa kwa miaka kumi nane klabuni hapo ,lakini mtendaji mkuu wa arsenal anatarajia kuwa kocha huyo atasalia klabuni hapo .
'Tunadhani tumepata kocha bora zaidi,' anasema Gazidis. 'Tuna matumaini anataka kufanya yale ambayo amefanya kwa kipindi kirefu . Na naamini anataka hivyo . na nadhani anahitaji hayo moyoni mwake , na analiendesha jahazi na unaweza kuona kuwa timu iko imara kwa sasa na anaitazamia kwenda mbele zaidi na analifuraia hilo .
'Tuna mahusiano mazuri na makubwa na ana mahusiano makubwa na bodi .kwa hiyo , kwa ufupi na katika muda sahihi tutalitangaza jambo hili pindi litakapukuwa tayari .
'Tumepata imani sana na kujiamini kwa Arsene na huyo ni mtu pekee ambaye anaweza kuipereka klabu mbele na tunaamini atataka kufanya hivyo . Na hili litafanyika kimya kimya na litakuwa ndani ya klabu yetu na likimalizika tutalitangaza .'
Wenger
alijiunga na Gunners October 1996, na ameshinda mataji katika misimu kadha na kushiriki fainali ligi ya ulaya lakini hajashinda taji lolote tangu Arsenal iliposhinda FA Cup mwaka 2005.
'Hii ni klabu ambayo imedumu na kocha kwa muda mrefu ,katika falsafa ya soka na kuungwa mkono na mashabiki na tuna utaratibu wetu wa kuishi na makocha Gazidis.
'na kuna mengi ambayo haya elezeki , japokuwa tumepitia katika mambo magumu lakini kwa sasa hata wachezaji wamekuwa wakionyesha nia ya kuendelea kuwa hapa , Arsenal itakuwa moja ya klabu zinazovutia wachezaji kuja kucheza .'
Gunners imemaliza ya nne msimu huu ,huku ikiwa na alama 17 nyuma ya mabingwa Manchester United. lakini waliawahi kutolewa nishai na timu za ligi ya daraja la kwanza za Bradford na Blackburn katika mashindano ya ngazi ya taifa na kufungwa kwa sheria ya goli la ugenini dhidi ya Mabingwa wa ulaya Bayern Munich katika ligi ya mabingwa ulaya .
na kumekuwa na hari ya tofauti kwa baadhi mashabiki wa aresnal kuwa wakati umefika wa kubadili timu .
'Tunataka kushindana katika kiwango kikubwa na ili kufanya hilo inabidi kushiriki klabu bingwa ulaya ,' anasema Gazidis. 'kwa maana hiyo tunafarijika kuona tumefuzu kwa ajiri ya klabu bingwa ulaya na tutacheza mechi za kufuzu .na bado hatujafika pale tunapotaka
No comments:
Post a Comment