KDHIA KUBWA TANZANIA MAMBONDIA WAKILI KUBEBA MIHADARATI
Mabondia wa nne wa tanzania wamefungwa jela Miaka 15 nchini Mauritius baada ya kupatikana na hatia ya kujihusha na madawa ya kulevya .
Mabondia hao waliieleza mahamaka kuwa walipereka madawa hayo kwakuwa walihitaji pesa za kusaidia familia zao
Mabondia hao walikuwa katika visiwani hivyo kupigana katika ngumi za ridhaa na walikamatwa mwaka 2008.
Hakimu amesema kwa kipindi ambacho wamekaa Mahabusu watatumikia gerezani kwa miaka kumi na tano
Mabondia hao ni ' Ramadhani Fills, Nathanael Elia Charles, Ally Rajabu
Msengwa na Petro Charles Mtagwa walikuwa wakionekana kama mabondia wanaochipukia na walikamatwa mwaka 2008 Mwezi June katika jiji la Quatre Bornes, zikiwa ni 15km (Maili tisa ) Kutoka , Port
Louis,
“Walinukiliwa wakisema
sisi ni maskini na tunamajukumu ya kifamilia;Watoto na wazee wanatutegemea ”
Mambondia hao walikwenda kushikiriki michuano ya ubingwa afrika moja kati ya mashindano makubwa katika bara la afrika kwenye ngumi za ridhaa .
ambapo inasadikiwa kuwa walibeba mizigo yenye kilo 4kg (8lb 8oz) za heroin,.
Tunaomba radhi kwa wanachi wa Mauritian ,"Mmoja kati mabondia hao alisema,kabla hawajaperekwa jela
"kama tungefanikiwa tungelipwa Dollar 4,000 euros ($5,200; £3,400)."
.
No comments:
Post a Comment