(DUNIA YA MICHEZO ) -- Serena Williams Ameshinda kwa ustadi wa hali ya juu taji lake la pili la
French Open katika set zote alizocheza na kumshinda bingwa mtetezi Maria Sharapova kutoka Urusi .
Bingwa nambari moja kutoka marekani alishinda 6-4 6-4 katika mchezo uliochukua saa moja na dakika 46 na kushinda taji la kumi na sita la 16th Grand slam .
Sharapova alimshangaza mpinzani wake kwa kuanza kwa kasi kubwa zaidi lakini Williams aliweza kuwa makini mchezoni na kuanza kujibu mapigo kwa kasi zaidi na kushinda la taji lake la kwanza tangu 2002. katika michuano hiyo ya Frenchi open
The French Open: Best photos
Sharapova 26-old hajawahi kumshinda Mmarekani huyo tangu 2004 japokuwa alianza kwa kuongoza kwa 2-0 lakini Williams alijibu kwa kasi ya ajabu .
katika mechi hiyo ,
Williams alishinda set mbili za kwanza , kuelekezea ubingwa katika himaya yake ,na kushinda taji 10th na kwanza katika fainali Bora zaidi katika zile alizocheza.
"Ilikuwa ya kuvutia ,nina Furaha sana ya kutwa ubingwa ," akiongea katika hadhara kubwa ya watu Philippe Chatrier Court, huku akiongea kifaransa .
Aidha mpinzania wake Maria sharapova amesema
"Nimecheza mashindano mazuri na kushindwa ubingwa katika hari ngumu ," Sharapova.
No comments:
Post a Comment