HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

17 August 2013

SIKU 16 ZIMEBAKI KUIBADILI ARSENAL JE ATANUNUA AU ?

Premier League 

Arsene Wenger alikuwa katika wakati mgumu zaidi na anatakiwa kufanya maamuzi ya kutosha kabla ya Dirsha la usajiri kufungwa siku kumi na sita zijazo baada ya kufungua msimu kwa kufungwa na timu ya soka ya Aston Vila katika kiwanja chao cha Emirates

Mfaransa huyo amesaini mchezaji mmoja tu mwenye miaka 17 huku akikabiliwa na Majeruhi kibao katika timu yake akiwemo .
 Keiron Gibbs na Alex Oxlade-Chamberlain ambao walitolewa nje katika kipindi cha kwanza na mchezaji  Christian Benteke alitumia mwanya huo kuipa timu yake ushindi .

Neat finish: Arsenal's Olivier Giroud, left, opens the scoring

Match facts

Arsenal: Szczesny 4; Sagna 5 (Podolski 90), Koscielny 5, Mertesacker 5, Gibbs 5 (Jenkinson 28, 5); Wilshere 6, Ramsey 5, Rosicky 6; Walcott 6, Chamberlain 6 (Cazorla 46, 5); Giroud 6. Subs not used: Fabianski, Frimpong, Gnarby, Sanogo.
Sent Off: Koscielny (67).
Booked: Szczesny, Wilshere, Koscielny, Cazorla.
Goals: Giroud 6.

Villa: Guzan 7, Lowton 7, Vlaar 7, Baker 6 (Clark 17, 7), Luna 7; El Hamadi 7, Westwood 7, Delph 8; Agbonlahor 7, Weimann 8 (Bacuna 88); Benteke 8 Subs not used: Steer, Okore, Helenius, Bowery, Tonev.
Booked: Vlaar, Luna, Benteke, Westwood, Agbonlahor.
Goals: Benteke 22, 61 pen, Luna 85.
Att: 60,003
Ref: Anthony Taylor (Cheshire).
MOM: Benteke
Ref: Anthony Taylor - 4
Arsenal ilionekana kama kuwa na moto lakini ilikuwa kama soda ya fanta baada ya Olivier Giroud kufunga goli katika dakika ya sita ya mchezo - lakini Villa ambao mwaka jana walikuwa wakichezea mkiani kama sio kushuka Daraja- walirudi ulingoni baada ya Christian Benteke kusawazisha kwa mkwaju wa penati ambao aliunganisha kwa mara ya pili baada ya kuokolewa .
Wageni hao walizadiwa mkwaju mwingine wa penati ambao ulioneka kama wa utata  baa ya Laurent Koscielny kuonekana kumiliki mpira alipokuwa akiwania mpira na  Gabriel Agbonlahor, kabla ya Benteke kufunga bao .

 Beki huyo raia wa ufaransa , alirekodiwa mara mbili katika kitabu cha mwamuzi na baadae alikung'utwa Kadi Nyekundu na Mwamuzi  Anthony Taylor, baada ya kumfanyia mchezo Mmbaya  Andreas Weimann.

Arsenal, ambao wanakabiliwa na mchezo mgumu wa kufuzu ligi ya mabingwa barani ulaya ugenini dhidi ya  Fenerbahce juma lijalo , waliishia kucheza kumi kiwanjani kikosi ambacho kimeshindwa kabisa kuibamiza Villa katika uwanja wao wa nyumbani huku mlinda mlango wa Brad Guzan ambaye aliokoa michomo kadhaa  
.
Antonio Luna alifunga goli la tatu na kuikandamiza kabisa Arsenal na Ndipo kelele zilipoanza  'Tumia pesa 'Mashabiki walionekana wakisema maneno hayo kwa kuonyesha mabango kiwanja hapo  

Arsenal v Aston Villa possession stats - taken from MailOnline's new Match Zone

Sharp shooter: Giroud celebrates his goal
Saved: Arsenal's Wojciech Szczesny keeps out Benteke's penalty...
Saved: Arsenal's Wojciech Szczesny keeps out Benteke's penalty...
benteke
... but Benteke heads home the rebound
.
Bloodied: Arsenal's Kieran Gibbs lies on the floor with a cut head after a clash of heads with Villa's Andreas Weimann
Bloodied: Arsenal's Kieran Gibbs lies on the floor with a cut head after a clash of heads with Villa's Andreas Weimann
Gibbs is escorted off the pitch with a head injury

Heads up: Villa's Ron Vlaar, second right, clears the ball
Heads up: Villa's Ron Vlaar, second right, clears the ball
Committed: Arsenal's Tomas Rosicky, below, tackles Villa's Karim El Ahmadi
Committed: Arsenal's Tomas Rosicky, below, tackles Villa's Karim El Ahmadi
Controversy: Santi Cazorla, Per Mertesacker and Wojciech Szczesny cannot believe that referee Anthony Taylor has awarded a second penalty
Controversy: Santi Cazorla, Per Mertesacker and Wojciech Szczesny cannot believe that referee Anthony Taylor has awarded a second penalty
Splash the cash: An Arsenal fan sends a clear message to Wenger
Splash the cash: An Arsenal fan sends a clear message to Wenger
Arsenal manager Arsene Wenger looks dejected on the touchline
Nightmare start: Wenger looks dejected on the touchline

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers