HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

10 May 2014

SHINIKIZO LA DAMU SIKU YA MWISHO LIGI KUU UINGEREZA KESHO

 


Kesho inaweza kuwa siku mbaya zaidi katika Ligi ya soka Uingereza kwani Matokeo ya Kushangaza yanaweza kuifanya Ligi hiyo kuingia katika Historia ya Kipekeee kwani Hapo kesho
, Timu ya Manchester City inayopewa kipaumbele kuzima Ndoto za Liverpool kushinda ubingwa wa uingereza. 

Manuel Pellegrini's ambaye ni kocha wa  City atatwaa ubingwa Endapo atapata Japo suluhu Dhidi ya West Ham. 
Liverpool -Wakiwa katika miaka   25th ya Maadhimisho ya Janga  la   Hillsborough  - Wanaweza kutwaa ubingwa kwa mara ya kwanza Baada ya kutwaa mara ya mwisho Tangu mwaka  1990 Kama wataifungwa   Newcastle na huku City  Kama  itafungwa .
Mkiani , Norwich itashuka Daraja hata kama itaifunga  Arsenal.

  Canaries wanaweza kumaliza Point sawa na   West Brom kama wakiwafunga  Gunners na  Albion wakifungwa nyumbani Dhidi ya  Stoke, lakini  Neil Adams's atatakiwa Kushinda magoli Kumi na saba ili aweze Kukwepa mkasa wa kushuka Daraja la kwanza .
Kwa  Liverpool, Inaonekana wanaweza kumaliza kwa huzuni kubwa baada ya kuonyesha msimu mzuri. Brendan Rodgers's alimaliza katika nafasi ya saba msimu uliopita akiwa na Alama 28 Nyuma ya Mabingwa  Manchester United, Lakini walipewa kipaumbele cha kushinda ligi kuu ya Majuma mawili yaliyopita .

Baada ya kushinda mechi 11 Mfululizo iliwafanya wakae kwenye uongozi wa ligi ya uingereza ,Lakini baada ya kutandikwa Mbili sifuri baada ya makosa yaliyofanywa na Nahodha wa Timu hiyo   Steven Gerrard, Chelsea Kuishinda  2-0 Mabao mawili sifuri  Anfield  na kuirejesha  City katika Hiamaya ya Uongozi.
Liverpool Ilichemka zaidi baada ya Kutoka Suluhu ya tatu tatu siku ya jumatatu dhidi 3- Crystal Palace, licha ya kuwa Mbele kwa dakika Sabini nane  3-3.
Sasa yamebaki maombi tu kwa  West Ham iishinde  Manchester City lakini Rodgers anaonekana kuridhishwa  na maendeleo ya Timu yake. 


  

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers