Neymar Alifunga magoli mawili ,huku moja likiwa ni la Penarty ya utata , Wakati Brazil ikiitandika Croatia katika mechi ufunguzi ya Kombe la Dunia ambapo Brazil wao ni wenyeji wa michuano hiyo.
Mabingwa hao mara tano walikuwa nyuma katika Dakika za mwanzo Pale Marcelo's alipojifunga goli katika harakati za kuokoa , baada ya mpira uliopigwa kwa kuparazwa na Nikica Jelavic's na kuipa Croatia Goli la uongozi.
Lakini Brazil ilisawazisha kwa shuti kali la Neymar la mita 25 baada ya kupokea mpira kutoka kwa Oscar's aliyekimbia kwa kasi.
Neymar alifunga kwa Pernaty mara baada ya Dejan Lovren kufamfanyia faulo Fred,na baadae Oscar kufunga goli tatu katika dakika za nyongeza.
Croatia italia na maamuzi ya mwamuzi kutoka japan ambaye maamuzi yake yanaweza kuwa ya kawa hoja kubwa Croatia kwa mwamuzi Yuichi Nishimura baada ya
Fred kujiangusha akiwa mbele ya Lovren na mwamuuzi kumamuru kupigwa pernaty.
No comments:
Post a Comment