HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

13 May 2009

CARIBBEAN BEATS YA CLOUDS FM NA TBL KUANDAA BOB MARLEY DAY

Unapozungumzia ukombozi wa mtu mweusi duniani basi ninaamini ya kwamba lazima utasema Bob marley moja kati ya wasanii ambao waliweza kupenyeza sauti zao hadi dunia nzima ikapata kusikiia nini maana ya haki au nini maana ya upendo ndiyo maana waandaaji wa kipindi cha muziki wa regae katika kituo cha clouds fm wakaamua kufanya tamasha la kumkumbuka mfalme huyu wa regae dunia kupitia kipindi chao Caribean beats wakiita Bob marley Day ambapo utakuwa ni mwaka wa ishirini nane , mwana muziki huyo alifariki tar 11 may mwa 1981 nchini marekani chini ya udhamini mkuu wa kampuni itengenezayo vinywaji vya baridi ya Tanzania Breweries kupitia Beer yake Kilimanjaro tamasha hilo litafanyika ijumaa ya tar 15 may mwaka huu ambapo itakuwa live band . Kutoka kushoto ni Goodsensie wa dar bongo massive george kavishe (TBL) benji cosmo wa manager wa caribbean walipokuwa wakizungumza na waandishi wa habari kuhusu tamasha hilo katika ukumbi wa idara habari maelezo. Onyesho hilo litafanyika katika ukumbi wa Zhonghua Chinese Garden pale ambapo lady jaydee utumbuiza kwa upande wa mwakilishi wa TBL George kavishe amesema kampuni ya imetumia shilingi milioni nane mpaka sasa ilikufanikisha shughuli hiyo aidha kwa upande mwingine tamasha hilo litakuwa litajumuisha baadhi ya wasanii ambao watatumbuiza katika siku hyo moja kati ya wasanii watakao tumbuiza ni Jhikoman&Africa kabisa Band Ngwea, Good sensie Dj Aaron &Gotta Irie aidha waandaaji hao wamesema kuwa kiingilio katika Tamsha hilo litakuwa ni shilingi 4000 na litaanza kuanzia saa tatu usiku hadi saa 11 alfajiri.vile tamasha kama hilo litafanyika Jhikolabwino(jhikoman) akiimba moja ya nyimbo ya hayati bob marley maneno aliyokuwa akiimba ni hayoapo chini.Emancipate yourselves from mental slavery; None but ourselves can free our minds. Have no fear for atomic energy, cause none of them can stop the time. How long shall they kill our prophets, While we stand aside and look? ooh! Some say its just a part of it: Weve got to fulfil de book.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers